karibu kwenye mapishi na Amanda, leo tunapika skonzi zenye nyama ya kuku, skonzi hizi zimekandiwa nyama ya kuku iliyopikwa tayari
mahitaji
nyama ya kuku ya kusaga nusu
karoti
hoho
kitunguu
ginger garlic paste
chumvi
unga wa ngano kilo moja
baking powder kijiko kimoja cha chakula
hamira pakiti nzima
butter vijiko viwili vya chakula
skonzi hii unaweza kuila kama chakula cha mchana, jioni au hata asubuhi na chai au kahawa, usisahau kulike, kucomment na kama ni mara ya kwanza usisahau kusubscribe channel yetu.