Duration 22:36

Mapokezi ya Ahmed Albaity Akitoka China Kutibiwa

113 581 watched
0
613
Published 1 May 2018

Mapokezi ya Ahmed Albaity Akitoka China Kutibiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo Jumatatu, Aprili 30, 2018 amempokea kijana, Ahmed Albaiti aliyekuwa nchini China kwa ajili ya matibabu kutokana na kupooza mwili wake. Albaiti aliyepelekwa na Makonda huko China baada ya tatizo hilo lililomsababishia kukaa kitandani kwa miaka 10, amerejea leo na kulakiwa na wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Ahmed alikwenda nchini China miezi miwili iliyopita ambapo hali yake inaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu. Kijana huyo alipata tatizo hilo la kupooza baada ya kuumia wakati akifanya mazoezi ya kuogelea. lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 373