Mfuko umekutana na Wahariri wa Vyombo vya habari ili kuboresha mahusiano ya Mfuko na vyombo vya habari. Pia wamezungumza ju ya mipango ya NHIF katika kuhakikisha inafikia adhma ya Serikali ya Bima ya Afya kwa wote. Mgeni ramsi katika mkutano huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndg. Edward Mbanga.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA UMEKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DODOMA.: