Duration 5:22

ZIJUE TAFSIR ZA NDOTO YA NG'OMBE MBUZI AU NYOKA.

23 698 watched
0
176
Published 29 Nov 2019

+255657990471 Dr hud hud

Category

Show more

Comments - 64
  • @
    @saeedsaeed73815 years ago Masha allah doctor hud kwa kutufafanulia elmu ya ndoto na mashakeel yao ahsantum sheikh. 1
  • @
    @twariiqutv51715 years ago Allah atuepushie ambaye hajachukua annabat ajitahidi yatenda maajabu saana na inafanya kazi shap saana. 1
  • @
    @jasminali59214 years ago Subhanallah huwa naota mara kwa mara nafukuzwa na nyoka shukrani sana nimejua tafsir yake.
  • @
    @ireneelishaalphayo67489 months ago Naomba nisaidie mm nimwanaume nimeota mbuzi anachinjwa na alivyokuwa anachinjwa nikawa napata maumivu makubwa.
  • @
    @fatmafuad60862 years ago Do asalam aleikum nimeota mbuzi akiwa chooni tena anatoka machozi ya damu mbuzi mweupe.
  • @
    @ibtisamasaleh441310 months ago Ukiota mbuzi anakumwagia shahawa mkononi.
  • @
    @lydiamutheu39243 years ago Kakika nimesubuka sanitakutafuta na mungu hakuzindishie kuzijua nakuzielewa zaidi niko mbali sijui wapatikaniwa sehem gani.
  • @
    @mohammediddmdede96102 years ago Asalamu alaykum dk
    nimeota nanunua mbuzi mwenye mtoto.
  • @
    @mwanahamisially52345 years ago Kweli jman pamoja na dawa zot inada pia ndo jambo lakwanz. 2
  • @
    @djyondergigi10273 years ago A aleikum nimeota mbuzi nime mdungu na alikufa mbuzi tena mwenyewe ni kipofu. Na rangi mweupe na rangi nyingine kama tatu. Ndiyo nini shukran.
  • @
    @angelmacha82783 years ago Na ukiota ww ndo unamkimbiza ng' ombe. 1
  • @
    @asiamct40254 years ago Doctar nimeota mwalim wangu kanunua mbuzi alafu kazulumiwa.
  • @
    @nasmanasri26739 months ago Shekhe nimeota nmebeba mbuzi na kumleta nyumbani kwangu tena nikiwa na furaha.
  • @
    @kamenemulu85612 years ago Niliota ngombe hananifukuza bt hakunipata niliingia mfunguni mwa kitanda.
  • @
    @neemarichard12564 years ago Nilota ngombe yupo juu anaelea huku hana migu.
  • @
    @fatemaissaissafatema63104 years ago Salaam na ukiota asali na vitunguu main? 1
  • @
    @mynamemanka9762 years ago Kaka mimi nimeota nmekosana na boyfriend wangu, nikilia mbuzi wakaja kuni bembeleza.
  • @
    @peterwamwea57382 years ago Nkusota mbuzi zikikuja qwa shamba nliokua.
  • @
    @kishumwinairowa3713 years ago Doctor nimeota nachunga mbuzi wale mbuzi wakawa wamepote baadae wakawa wamepatikana wachache.
  • @
    @fetychina79564 years ago Niota nyoka malaysia nyingi tu namwisho wa siku nyoka aliingia ndani sijui aliingiliawapi nika muua. 1
  • @
    @saadahassan14374 years ago Niliota nyoka yupo juu ya kabati mkubwa nikimuangalia anajificha tn ni usiku nilishtuka ata kuwasha taa naogopaa. 1
  • @
    @jobmutua22042 years ago Dr. Mimi niliota nikichinja mbuzi. Nilichinja mbuzi mbili kwa kukata shingo na kutoa ngozi, wa tatu akanishinda kumshika vizuri ni mkate shingo, pls nisadie nijue maana yake.
  • @
    @josephdullah3766last year Nimeona ndoto navuka mto nikiwa na mbuzi na ng' ombe pamoja maana yake nn.
  • @
    @user-me6gn4gi4v4 years ago Shekhe mmi niliota ngo, mbe wengi wana kimbiza watu na mmi pia nilikuwa hapo pia mmi nakimbia.
  • @
    @catherinenyawira8652 years ago Niliota nikiwa tume imba mbuzi na tukashija tunaenda kuuza. Maanake nini.
  • @
    @boramwanjemi22162 years ago Asallam wallekumu ukiota mbuz wanapita halafu unawarusha madong' o ili wasile mimea, tena mbuz hao kunamtu ndie amewafungulia wewe nikama waseedia wasile hapo kwenye mimea.
  • @
    @annaharry49974 years ago Mimi huwa naota mara kwa mara napigana na ng' ombe, siku zingine namshida mimi na siku zingine namkimbia alfu najificha, namba nisaidie maana yake. 1
  • @
    @marynyange84784 years ago Nimeota nikila maguu ya mbuzi hii yamaanisha nini shekh?
  • @
    @miner.johnmasuka7621last year Dk nimeota mbuzi hana kichwa tafsiri yake nini.
  • @
    @mchambuzi90893 years ago Asante. Je ukiota umekimbizwa na ng' ombe, na ww ukafanikiwa kuingia nyumba flan nakujifungia ndani inamaanisha nini?
  • @
    @peterwahome4892 years ago Na ukiota nyoka mweusi mkubwa unataka kumuua then anaona yule mnyama wa kuishi kwa mchanga anamfata kumla na kuzama ndani ya shimo na hivo ndivyio atapotea maana take ni gani.
  • @
    @agapenkya41484 years ago Ukiota kondoo mmweupe amekuja nyumbani kwako.
  • @
    @caleenmsabilwa41464 years ago Jmn mm huwa naota ng, ombe mara nying in sk niliota niko kwenye vita sasa ioe nakimbia mbele nikakutana na ng, ombe weng nikasbl wakapita ndo na mm nikapita . ...Expand
  • @
    @fadhilinzota34793 years ago Nimeota nipondani haponje panazizi lang' ombe nisubiri nduguyangu anapika ugali tule mm niposebleni kwenyebusati nimepumzika.
  • @
    @colethampepo52804 years ago Nmeota mbuzi amechomwa (ndafu) maana yake n nini.
  • @
    @paulinarungu33283 years ago Mimi ninaota mara kwa mara kuwa mbuzi wangu kazaa mapacha na huyo mbuzi ni kweli ana mimba na mm pia ni mjamzito maana yake ni nn.
  • @
    @malususiri48894 years ago Ukiota unakata kuni mlimani nini maana yake.
  • @
    @naomilucas32294 years ago Nimeota: ng' ombe katoka kwenye biaashara yangu katokomea sikumuona tena, ila hapohapo nikaota nyoka weusi mkubwa na mdogo wameingia ndani ya frem yangu ya biashara, naomba jibu.
  • @
    @sharifatabook46974 years ago Na ukiota ukikimbizwa na ngombe alafu wewe unapanda kwa mlima ngombe anapita nn maana yake?
  • @
    @boliboembe62123 years ago Doktari ukiota mbuzi amezaa mapacha nini maana yake.
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15964 years ago Hata panya kula nguo zako laivu sio nzur mama anasemaga. 1
  • @
    @uthmanihimbawe52443 years ago As/alykm niliota ndoto niumeua nyokatafsir yake?
  • @
    @professormpakistanimweusi57664 years ago Na je sheikh mtu ukiota unafuga mbuzi na wanazaa wapo wengi tu katika zizi. Hii nayo ni vp sheikh? 0.
  • @
    @martapatrick26873 years ago Shekhe mimi nimeota ng, ombe mbuzi wanakamuliwa maziwa mengi nawana toa hayo maziwa kila ng, ombe anakamuliwa ndoo moja.
  • @
    @user-ij2bf8of8h5 years ago Asante sheikh kwa tafsiri za ndoto. Sheikh mimi niliota nakimbinzwa na nyoka na alikuja na mtu lakini sikumjua huyo mtu na mwishonini sheikh tafadhali namba kujua. 1
  • @
    @rumaisaabaleli32184 years ago Shekh nimeota punda ananikimbiza bdae amenipiga alafu akanimeza.
  • @
    @severiningungulu12904 years ago Docta nimeota ng' ombe anafukuza sana watu japo mi alikua hanifukuzi lakini nilikua nijificha mwenyewe maanake nn.