Duration 8:22

Dawa asili ya kuondoa uvimbe kwenye kizazi na mayai kwa haraka sana | |

17 338 watched
0
118
Published 14 Dec 2019

TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TIBA YAKE FIBROID NI NINI? Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio. Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi. Kuna aina kuuzifuatazo za fibroids: 1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi) 2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi) 3. Subserosal(nje ya kizaz) Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids 1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa 2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma 3.kurithi 4.unene 5.kuingia hedhi mapema Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma. Dalili za fibroids 1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi. 2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe. 3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana. 4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu. 5.hedhi zisizokuwa na mpango 6.maumivu wakati wa tendo la ndoa 7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa 8.maumivu makali wakati wa hedhi Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo. 1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo 2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo 3.Haja kuwa ngumu 4.miguu kuvimba 5.kupungukiwa damu Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto: 1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yan ovari 2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids 3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.

Category

Show more

Comments - 49