Kuna wanawake huwa wanaziona dalili za mimba lakini wakipima mimba kwa kutumia kipimo cha mimba (UPT), kipimo kinaonyesha negative yaani hana mimba.
Kuna vitu mbalimbali vinavyoweza kusababisha kipimo cha mimba kikatoa majibu negative wakati mwanamke anahisi dalili za mimba.
Video hii inaelezea kwa nini hiki kitu huwa kinatokea.