Duration 9:57

Highlight ya magoli yote ya Simba vs fc platinum ya Zimbabwe. aggregate Simba 4- fc platinum 1

1 222 watched
0
2
Published 7 Jan 2021

Simba imefanikiwa kutinga kwa kishindo hatua ya makundi baada ya kuichakaza Fc platinum ya Zimbabwe goli 4 kwa bila , hivyo na kuthibitisha kweli Dar in war imefanya kazi. usisahau kushea, kulike na ku subscribe ili kuweza kupata habari motomoto za michezo

Category

Show more

Comments - 0