Duration 18:56

Professor Jay afunguka bifu yake na Chameleone, ugomvi na P-Funk, kukosa ubunge na mengine (Part 2)

31 880 watched
0
451
Published 3 May 2021

Professor Jay anaelezea jinsi alivyoingia kwenye bifu na Jose Chameleon kutokana na wimbo Nikusaidiaje na pia namna wimbo huo kutumika kwenye filamu ya Disney, Queen of Katwe ulivyozua ugomvi na mtayarishaji wa wimbo huo P-Funk. Pia anaeleza alivyochukulia kushindwa ubunge jimbo la Mikumi kwenye uchaguzi wa 2020 #ChillnaSky

Category

Show more

Comments - 67