Duration 9:31

Ndalichako apigilia katazo masomo ya ziada kwa shule za Serikali

9 666 watched
0
61
Published 22 Jun 2021

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akijibu hoja zilizotolewa na wabunge wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022, jijini Dodoma jana. Ndalichako amesisitizia zuio kwa shule za serikali zinazotoa masomo ya ziada kipindi hiki cha likizo kwa kuwalipisha fedha wazazi wa watoto wanaosoma shule hizo

Category

Show more

Comments - 31
  • @
    @cleverkifaluka43373 years ago Asante naibu spika umeliweka vizuri sana nimekufurahia sana jinsi ulivyolinyoosha hili jambo 4
  • @
    @wanderenyeura90113 years ago Asante my dear Ndalichako Mungu akubariki 3
  • @
    @edrickmbilig10213 years ago Asante kwa ufafanuzi mzur mh. Make uku kwetu wazazi wanalia kila kona kuusu pesa za tushen asante wazir 4
  • @
    @noelabaraka2453 years ago 😂😂😂😂Mama Samia hajakosea kukuteua.Kuna unyanyasaji mkubwa wakati wa likizo 2
  • @
    @ellykibale1903 years ago Ni kweli waziri, kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa...
    Walimu wajipange vizuri, waweze kumaliza topic kwa wakati husika, elimu haijawa vita hadi wanafunzi wasipumzike Lakini pia hoja ya Naibu spika nayo ni ya kuiangalia kuwa Je walimu wapo wakutosha kwani La, ndivyo saa nyingine vinasukuma masomo haya ya ziada.... ...
    1
  • @
    @fabianmihale37153 years ago VIPI KUHUSU PRIVET SHOOL MAANA HAWA NDIYO UTRATIBU WAO 1
  • @
    @dubigutv29573 years ago Sijakuelewa mh.
    Wanafunzi wa shule za serikali wanasiku tano za kwenda shule lakini wanasiku tatu za kusoma darasani hivyo tuendelee na kambi kwa shule za kata
    Mfano mzuri Ni mkoa wa simiyu mwaka Jana ifanya vizuri Sana sababu ya kambi
    ...
    1
  • @
    @benderarulenge88983 years ago Nikweri waziri huku kwetu napo nishida Sana,wanachangishwa magunia ya mahindi na maharagwe na hela ya mafuta yakula na hela yakumlipa mpikaji wa chakula
  • @
    @ibrahimomari24582 years ago Watoto wenu kwakuwa hawako huko...ndio maana mmejitoa ufaham..
  • @
    @epifaniamzena93843 years ago Sawa waziri. Usitufuatilie wakati wa matokeo
  • @
    @hemedmohamed4263 years ago Sikubaliani nawewe kwa 100%. Nmeona wengi wamepiga camp ya mwaka mmoja huo wa form four na matokeo yao yamebadili kwa asilimia Kubwa mno. Waoneeni watoto wa wenzenu huruma jamani. Dàaaaa 1
  • @
    @bobwhite92523 years ago Mama..shule za kata hazina walimu watoto ni kama wako likizo mwaka mzima...watoto wenu wakishua ndio inabid wapumzike sabab wana walimu..wana tuition wana walimu wanawafata watoto nyumban. 1
  • @
    @yosiahshemweta82613 years ago Naomba kama serikali imeliona hili hebu fanyeni bidii hata kwa kuwaadhibu walimu wanaolazimisha kufungua masomo ya ziada Mimi naunga mkono msimamo wa serikali kwani mtindo huu wa bookish ndio unaharibu kabisa ubunifu kwa wahitimu wetu kwani hawana muda kabisa wa kurelux na kushiriki skills za kawaida kabisa nyumbani. This system divocy completely the children from the society ...
  • @
    @emmamatemu82253 years ago Huyu ajiuzulu tu
    Hajui anachoongea
    siasa tu!
    1
  • @
    @umojawawatanzania38133 years ago Pelekeni WAALIMU wa kutosha mashuleni, Acheni siasa.
  • @
    @umojawawatanzania38133 years ago REVISIONS MAMA, KAUSHA TU WAALIMU MLIKUWA HAMUWAPANDISHI MADARAJA, MADENI ZAO HAMUWALIPI, WATOTO WAKIFELI MNAWAANDAMA, ACHA WAJIONGEZE.
  • @
    @jamesmasome3593 years ago Shule zakulipia ni sh. Gapi? Tuache bana....
  • @
    @ramadhaninkenka62863 years ago Hasante sana naibu spika kwa weledi wako mkubwa
  • @
    @justusndyamukama48083 years ago Baadhi ya shule unakuta kidato cha kwanza hadi cha nne baadhi ya masomo hayana walimu kabisa au somo lin mwalimu mmoja tu. Shule nyingine zinabakiza watoto shuleni kusidi watumie muda huo kukamilisha syllabus. JE, Serikali imejiridhs kuwa shule zote zina walimu wa kutosha kwa masomo yote? Hili swala pengine liachiwe Maafisa Elimu, kamati za shule na wazazi. Wao waone mapungufu yako wapi na namna gani wayakabili katika maeneo yao. ...