Duration 16:49

FALSAFA ZA MTAA I Ubalozini I Manucho I Kazi ya gereji I Kafa Manzese

156 watched
0
7
Published 16 Apr 2021

Falsafa za mtaa imetembelea eneo la Ubalozini lililopo Buguruni nyuma ya shule ya viziwi. Hapa utapata kujua sababu ya eneo hilo kuitwa Ubalozini, shughuli za kiuchumi za eneo hilo, wakazi wake, tukio lisilosahaulika, watu maarufu wakazi na stori za hapa na pale kwenye kibenchi cha kimiyeyusho. Karibu. Watangazaji: Naima Mohammed na Baraka Suleiman Camera & Director: Frank Mapunda Producer: Techniks Audio Visual Ex. Producer: Dar es salaam School of Journalism #ubalozini #falsafazamtaa #manzese

Category

Show more

Comments - 4