Duration 4:23

MBUNGE LEMA BUNGENI LEO HOTUBA YANGU IMEZUIWA'

54 383 watched
0
207
Published 23 Apr 2020

Category

Show more

Comments - 37
  • @
    @jimjam76874 years ago Nime kuelewa vizuri sana hon. Lema uko sahihi japo kwa waliyo penda uchama awawezi juwa umuimu wa kujikinga na janga la korona. 2
  • @
    @joshuaswai6534 years ago Wapinza ni hazina kubwa sana ktk taifa wanaoweza kuwadhrau ni wapumbavu tu ktk ulimwe ngu was leo. 3
  • @
    @jamallysayd38864 years ago Mbona huyu jamaa anapewa dakika chache wakat nimuongeaji points tu. 2
  • @
    @obagoabhiathan35654 years ago Ila hawa wabunge wanaotoa taarifa zao uwa ni pumba mbele ya hoja za kujenga. 1
  • @
    @hazibonplatformafrica96174 years ago Watoa taarifa wengi huwa ni vilaza sana0b- 2
  • @
    @ramadhanisimba34434 years ago Mimi lema nakukubali sana, ila unaniuzi kugomea na kufumba mdomo acha hiyo tabia, kama tatizo ni muongozo wa chama pigania mgombea huru hata huna chama . ...Expand
  • @
    @jamallysayd38864 years ago Weww mama hurud tena hapo bungeni kama kura unategemea kwetu hebu mwache mtu aongee points. 1
  • @
    @thelatestvideos62663 years ago 1 thing i know for sure, kumkosa mtu km lema bungeni ni hasara kubwa sio tu kwa wananchi bali kwa serikali pia.
  • @
    @josephlmalima4504 years ago Lema aache kimbelembele, mbona wewe huna barakoa? 1
  • @
    @martinkarata10974 years ago Watoa taarifa hua wananiboaga sana hawaga chakuongea wanawapotezea muda watu tu.
  • @
    @johnsonjoseph5094 years ago Mbona ime editiwa sana? Hata haieleweki.
  • @
    @lubavaclassic70484 years ago Uyuu mama ana uwelewa mfupi kama luku unit za geto la msela. Kama kuna raisi atakuja kumpa dhamana ya uwaziri nitamshusha samani mbaka raisi mimi nimemsikiliza lema kwenye simu nimemuelewa lakini yeye anamsikiliza ndani ya mjengo lakini hajaelewa kituu. ...Expand 6
  • @
    @chidybwax80804 years ago Wanakera sasa faida tutaipata wapi wakat baaharia ndo alianz kumwaga mambo.
  • @
    @naamohamed99644 years ago Wana pendaga kumuona lema hayupo sahihi yan lema anakuaga na bahati mbaya kama makonda hata a kiongea neno la mana wapo wataona upuuz. 2
  • @
    @ramadhanisimba34434 years ago Wapinzani wetu hawaonyeshi usiliazi ktk hoja, wao wanachofanya kugomea hoja na kutoka nje na kuondoka ss tuliowachagua tuwafikilie vp! Mm naomba kwenye . ...Expand