Duration 10:34

MPYA DARAJA LINALOPITA KATIKATI YA MTO KUUNGANISHA MAHANDAKI YA SGR KILOSA HILI HAPA

18 393 watched
0
170
Published 2 Mar 2021

Category

Show more

Comments - 43
  • @
    @temkezatv43813 years ago Tanzania kwanza mengine baadae jpm nambari 1 katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza . ...Expand 3
  • @
    @abdalasidudu92333 years ago Mtangazaj nimekukuba beni namkubar rakin wewe nakukubar unaoji kitaaram kanakwamba wewe no injinia saf kabisa mungu akurinde magu ooye. 4
  • @
    @eischerschwederm78763 years ago Mto sio kero wewe. Mto ni blessing, sema ni changamoto. 1
  • @
    @ilynpayne74913 years ago Kila nikitaka kum chukia magufuli nashindwa huyu raisi wetu ni bora kuliko. 1
  • @
    @hajibigawa27133 years ago Tupate na taarifa za reli ya kati kwani zote twazipenda.
  • @
    @jumanurdin58913 years ago Tatizo lililopo kipande cha pili na fidia tu za watu waliopitiwa na raini ya umeme na baazi watu waliopitiwa na mlad huo vitu ambavo walivokua wanavitegemea . ...Expand
  • @
    @lucasmogoile70973 years ago Pigeni kazi usiku na mchana hakuna kulala.
  • @
    @beaugosseadam68313 years ago Lissu na wa kenya wenzake wanataka lockdown ili kazi isifanyike. Wajama zake wameanza kutengeneza chanjo feke za corona.
  • @
    @mahamudubakari58953 years ago Endelea kutupatia habari hakika nchi yetu kupitia rais magufuli inasonga mbele.
  • @
    @josephemmanuel31753 years ago Hiv na ile flyover ya kule makutano yakarume inayofanana na ya tazara mbona hamuitangazi.
  • @
    @todayrusski13883 years ago Kweli magufuli na udikteta wake anaweza. 1
  • @
    @salummuhija44353 years ago Mita 3. 8 sio mita 38 mtangazaji weka sawa hapo.
  • @
    @mwilemwasenga70663 years ago Moro _dodoma inakamilika lini?
    maana dar-moro km 300 imechukua miaka 5 na bado haijakamilika.
    2