Duration 10:13

ALICHOKIONGEA ALI KIBA Baada YA Kujenga MSIKITI

189 592 watched
0
2.1 K
Published 20 Jan 2020

ALICHOKIONGEA ALI KIBA Baada YA Kujenga MSIKITI Baada ya kusambaa kwa Taarifa za Msanii Alikiba Kujenga Msikiti Shehe Amefunguka na kusema kuwa wote wanaoongea jambo lolote kuhusu msikiti huo wanakosea kwani alicho kifanya alikiba ni swawabu kwa Mungu wake na sio vingene kama ambavyo watu wanalitazama jambo hili. GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?li

Category

Show more

Comments - 567
  • @
    @rohityalsina59724 years ago Shekhe ameongea vizur xana dah sio watu wa upande wa pili kule aliejenga alitaka kiki na yule shekhe pia alitaka kiki na wasanii waliempongeza pia walitaka . ...Expand 92
  • @
    @ambiamash21944 years ago Its sadaqa ali alijitolea c vyema kutangaza alietenda, may allah give him long life to continue building more of it, always humble guy. 3
  • @
    @stellambeca59134 years ago Nawow o, king k. Mashalah, deco on point, classic. God bless. 14
  • @
    @abokrarshamsan79634 years ago Mashaallah may allah bless you and your family inshallah. 1
  • @
    @saeedmohammed10674 years ago Sheikh waweza kutoa kwa kuonekana, kwa nia ya kuwashawijisha watu waweze kufanya kama ulivyo fanya. Hata enzi ya rasulu allah swalla allahu alayhi wassallam . ...Expand
  • @
    @hamispeter90434 years ago Said wellhao ndy binadam hawakosi kukosoa hata kitundy mlipaji wakila kitu. 29
  • @
    @mohamadmohamad95224 years ago Hongera kaka kiba mungu akulipekila la kheri yaarab sema amin kwaku gonga like apa kama u apenda kiba kwel. 19
  • @
    @sumasullesulle4194 years ago Mashalh alikiba mungu akufungulie milango ya kheli nasi pia mungu atupe muongozo wa kuwekeza khamali njema mbele ya mola wetu tusikalie kutaka ya dunia zaidi na sifa zake. 7
  • @
    @peterchuwa58804 years ago Shee umejibu vizuri sana kwa ustadi wa hali ya ju sana. 52
  • @
    @sospeterkaponoke37894 years ago Hongera shehe japo mimi sio mwislamu nmependa n. A. Hongera kiba. 56
  • @
    @jimjam76874 years ago Masha allah. Allah amjegee nyumba yake peponi amin yarabi amin. 27
  • @
    @abunabinty9602 years ago Mashaallah tabaraka allah mungu amzidishie imani zaidi.
  • @
    @khamissalum40614 years ago Maashaallah dada unaongea vizuri nakwaheshma. 39
  • @
    @officialjohanesmkandara43014 years ago wenyewe mzuri inshaallah mwenyezi mungu amuongezee pale alipo toa sio kama wenzetu upande wa pili apo midia zote zingetia team. 65
  • @
    @zayanasudi37314 years ago Maashallahamuongezee kule alipotoa inshaallah. 10
  • @
    @sumeiyaaswani95594 years ago Mashallah allah akupe jazaa yake ali kiba umefanya jambo la maisha daima ytakumbukwa na kila atakae swali hapa allah atakuandikia mema umejenga akhera yako mdogo wangu nakupenda kwa hilo. 1
  • @
    @hamisikijiba35204 years ago Asante mungu kwamjaaliya uwezo ali kiba ali kiba endeleya kujali sana ahera usimfate huyo madani ya msalaba usiyache swala mungu akusaidiye amin. 1
  • @
    @maliambachubila58044 years ago Mashaallah allah amzidishie king kiba. 10
  • @
    @salamabakari86323 years ago Walkm musalam mungu amzidishie nasi pia tuwe muogoni mwao amiin nnshaallah. 1
  • @
    @meshacksamsonmexher33774 years ago Mimi ni mkiristo kabisaa lkn kwa jambo zuri kama hili haliitaji matabaka na tofauti zetu zaalikiba sana kwa roho yake hii njema wake wa ibada, mungu amzidishie kheri zaidi ktk maisha yake. ...Expand 2
  • @
    @hamispeter90434 years ago Mungu akuongoze king. Mambo ya kheri hufanywa kwa kimya kwa kuwa mlipaji ni allah pekee nasiowatakupa sifa zahapahapa tyu dunian ila kwa allah inakuwa ni mavumbi hakuna ulichokifanya. 31
  • @
    @vinanimwinyi316311 months ago Mashaallahakjalie heri leo apa dunia n kesho ahera.
  • @
    @fintaniferx95354 years ago Mimi ni wa yesu ila namwonaga alikiba ana ipenda dini sana ndo mahana apendi majigambo ana ijuwa kesho mungu amjalie ekima sana najuwa na bwana wetu yesu ata mwacha mbele za mungu amina. 62
  • @
    @ramakibati74154 years ago Allah amjalie wepes ktk kuimarisha kujenga nyumba zaallah naamfanyie wepes ktk mamb yake nakaz zake ila namm pia mwalimu nina eneo nemepewa alina chuo walamsikiti kwahyoo namm pia naomba kujengewa jaman inshaallah.
  • @
    @ahjucekim51384 years ago Allah, ambarik na amuongezee iman na rizk ktk kaz zake na awape mwisho mwema wte walohusika kutmiza jmbo zma. 2
  • @
    @asaasnaamstafa1937last year Umejiwekea kaka swadaka yakudum hataukifa mema yako yatakufikia peponi milele mungu akulipe kila lenye her liwe kwako na umri mrefu amin.
  • @
    @HassanAli-eq8ko2 years ago Mashaallah jazakumllah kheir amiin mola amlipe pepo pa moja na ss inshaallah jazakumllah kheir.
  • @
    @aboubackhrkassangullah83804 years ago Huyu jamaa alikiba anajielewa sana na anaishi maisha ya kweli hapendi kujinakishi. 97
  • @
    @ismailodemo56614 years ago Diamond ana riyaa ajifunze kutoka kwa king kiba mashallah. 2
  • @
    @bashaermobile75214 years ago Hongera alli kiba kwakufanya jambo la heri kutambua ahera na ya dunia.
  • @
    @mubarakasefu9584 years ago Mashallah kaka ally kiba allah akupe hitaji ra moyo wako kaka kilalagher ishallah. 2
  • @
    @habibakirungikirungihabiba94074 years ago Mungu akuongoze kiba nakukubali sana maana mambo yako si yasifa japo ufahari unao unafa kuwigwa king mungu akuzidishie.
  • @
    @magrethkimambi80074 years ago Mashallah. Daa hakika hii. Familia imelelewa kwenye maada sana. Kiba anajielewa sana. Hp tz. 1
  • @
    @cadabraibrahim51622 years ago Alikiba ni mtu safi sana asie kua na makuu na mtu mwenye zimungu amlinde kwa makafili.
  • @
    @mickthadon43194 years ago Mungu amwongezee alikiba pale alipo toa.
    na kumjalia yote mema yanayompendeza mwenyezi mungu.
    2
  • @
    @joelmwita66203 years ago Ilove you alikiba you my best in song to tanzania.
  • @
    @rasekonde45374 years ago Inshaallah mungu akuongezee zaid alikiba hakika we ni mtu wa watu hongera sana. 3
  • @
    @halimaabdallah34094 years ago Mashaallah, ali kiba, allah akujaliye kwa kila hatua unayepiga ameen ya rabbi.
  • @
    @miswagatz15804 years ago Hivi ndivo inavyotakiwa mungu akubariki alikiba.
  • @
    @maajabuhamisi30244 years ago Masha allah mwenyezi mungu amfanyie wepesi kwenye kila jambo. 2
  • @
    @juriosmazengo76134 years ago Insha' allah mwenyezi mungu azidi kumuongezea. 2
  • @
    @abdallaali96893 years ago Kiba umejitahid kaka kujenga msikiti mashalaha.
  • @
    @naimawahwewenani.anskutaka11624 years ago Bora useme ww sheikh maana watu wanamuandama sana. 13
  • @
    @salehehamza39442 years ago Maasha allah ally kiba allah akufanyie wepesi na malipo stahiki mbele ya allah.
  • @
    @husseinally66994 years ago Jamani kujenga msikiti ni jambo la kher
    ila tusitetee ouvu
    ikiwa pesa alizo jengea zimetokana na mziki
    hakuna kitu hapo ni vumbi kama ni mziki haramu na kila
    kutokana na mziki huo ni haramu
    mwambieni arejee kwa allah na achane na mziki
    tusipakane poda kwenye mambo ya allah
    .
    ...Expand
    11
  • @
    @wifematerial89434 years ago Mashaa allah, mashaa allah ali kiba mungu atakulipa kheri mbele za khaki, jamani ndugu zangu muache kumjagi binadamu mwenzetu mungu ndiyo mwenye muhukumu, . ...Expand
  • @
    @therealafricana13724 years ago Kazi nzuri kiba. Mungupia mungu amzidishie.
  • @
    @karanidicky44894 years ago Mungu akubariki zaidi ali k,
    sheikh tumekuelewa,
  • @
    @khadijasalum23024 years ago Shekh maa shaa allah umetoa nasaha nzuri sana maa shaa allah.
  • @
    @zemgotanar52644 years ago Ongera shekhe wangu nimejifunza mengi kutoka kwako kwa maerezo mazuri asante baba. 22
  • @
    @fakihichivelekwa76374 years ago Ali saleh kiba mungu amzidishie kher inshallah.
  • @
    @mozaothman75304 years ago Mashallah m/mungu akuzidishie ali kiba.
  • @
    @anoldamoni93034 years ago M/mungu akuongezee pakubwa zaidi ya ulipotoa allikiba hongera mnoo.
  • @
    @TheOne-fi6cs4 years ago Stara nyingi sana. Nimekuelewa sheikh. Nmekupenda sana.
  • @
    @sadatihaji76714 years ago Allah amzidishie pale alipotoa na ampe mwisho mwema na amuongoze njia ile ilionyooka inshalla.
  • @
    @fathomcool99024 years ago Alhamdulillah allah amjalie kher inshaallah. 1
  • @
    @mussamwamoto82314 years ago Safi sana kijana, mungu anajua zaidi japo wapo watakao pinga mana ya diamond yalimkuta, hapa watakao swali ni waumini na sio kiba wala diamond.
  • @
    @salmaali70804 years ago Shekh sema kweli, hizo pesa una uhakika gani ni zahalali, mziki ni haram, pesa za haram huwezi kufanya jambo is halali, swadaqaangaliya majuto. Allah amuepushe na adhabb yaalichokifanya mpaka alipofariki, nyinyi mwajenga miskiti kisha mwaingiya miskitini na tatuumwenye tatuu ni haram kuingiya mskitini, allah atuongoze njia yajamii. Islam. ...Expand
  • @
    @deedan65384 years ago Hongeran sana team kiba kwa hili jambo kubwa.
  • @
    @hassanifumo48544 years ago Mashallah king kiba umejitengezea akhera yko.
  • @
    @kpspalmer33644 years ago Sheikh umeeleweka saana mkuu alikiba mungu atakulipa kwa jambo ulilolifanya. 50
  • @
    @habybmaruwan9994 years ago Masha allah tuzidi kujaza swafu kila swala.
  • @
    @hashimuninga35354 years ago Mwenyezimungu akutanglie kila idaraa amen.
  • @
    @sharushishbahal55164 years ago Ali kiba masha allah mungu linde wewe na familia yako.