Duration 29:36

MWISHO WA ZITTO KABWE UMEFIKA/NITAMNG'OA/TUNAONEKANA WASALITI - ZAINAB KATIMBA

89 420 watched
0
430
Published 11 Jun 2020

Msumari Wa Moto umetukutanisha na #ZainabKatimba mmoja kati ya wabunge waliongia Bungeni wakiwa wadogo sana kiumri, ambapo yeye akiwa na umri wa miaka 25 tu aliaminiwa kuwa sehemu ya chombo cha uwakilishi cha nchi. Amepata uzoefu gani kiuongozi? Anazatazamaje changamoto za vijana na wanawake na anasemaje kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi mwaka huu ? Cc. @charles_william2 @rwenyagira #MsumariWaMoto

Category

Show more

Comments - 232