Ni Daraja ambalo kila anaeijua Dar es salaam alikua akitamani likamilike, na kila ambaye amekua akitumia Pantoni alitamani kuona itakuaje baada ya daraja hilo kuanza kutumika.
@rosenamilia41408 years agoNdugu zangu mambo mazuri hayataki haraka. Ujenzi wa daraja sio sawa na ujenzi wa nyumba. Ukizingatia daraja limepita baharini ambapo kina nchi zilizoendelea kama ulaya/marekani na asia utaratibu wa ujenzi wa daraja kubwa ndivyo ulivyo. Kwa upande wa kuchaji ushuru wa magari ni muhimu sanaa kwa daraja kubwa kama hilo. Hata ulaya wanafanya hivyo. Ila wavuka kwa miguu hulipi chochote. big up. Milard ayo kwa kazi yako nzuri kila saa na siku. Uko juu sana mtu wangu wa nguvu. Hata umewapita wenye magazeti. Keep going. Men. ...Expand1
@
@nasraeidrayul43838 years agoKwa kipindi hichi naipenda sana nchi yangu mungu azidi kubariki insha allah maendeleao yawepo mengi na mengii maana tumechekwa sana kipind cha nyuma. 3
@xkingx80418 years agoAsante saana millard, ubarikiwe saana.
@
@sultanmm77227 years agoAsanteni sana kwakutupatia taalifa nzuri.
@
@ashamohammedashamohammed74018 years agoSafi sana millard ayo natamani niludi tz nienjoy uzuri hapo kwa daraja.
@
@francissilva91988 years agoHii ni sehemu kubwa ya maendeleo tanzania na ni darajamaendeleo hayo. Hapa kazi tuu.
@
@catherinemangesho86418 years agoAsante milayo kwa kzi nzuri nimeimis bongo.
@
@marlyncamden8 years agoGreat video. The audio would' ve been better with a camera windscreen over the mike which cancels the wind noise.
@
@erickjastin96858 years agoSs hilo la kilometer 1 nikama hivyo na zanzibarkabisaa.
@
@sombamrisho55418 years agoMbona sarrender hawalipii waache watu wapite kwani daraja ni kiunganishi kama sehemu nyingine walivyojenga.
@
@princeado95118 years agoItanibidiianze kufanya kazi dar to znz nifanye kazi tuu hapa kazii tuu. Nauli sijui niweke ngapi?
@
@suleymanalfaqeer45728 years agoDaraja moja imechukuamiaka sijui hilo la dar to zanzibar itagarimu karne ngapi.
@
@williamjames97518 years agoNasikia fununu kwamba kutakua na nakulipia kwa watumiaji wa daraja hilo haswa magali ni kweli hili jambo?
@
@rosenamilia41408 years agoNdugu zangu mambo mazuri hayataki haraka. Ujenzi wa daraja sio sawa na ujenzi wa nyumba. Ukizingatia daraja limepita baharini ambapo kina nchi zilizoendelea kama ulaya/marekani na asia utaratibu wa ujenzi wa daraja kubwa ndivyo ulivyo. Kwa upande wa kuchaji ushuru wa magari ni muhimu sanaa kwa daraja kubwa kama hilo. Hata ulaya wanafanya hivyo. Ila wavuka kwa miguu hulipi chochote. big up. Milard ayo kwa kazi yako nzuri kila saa na siku. Uko juu sana mtu wangu wa nguvu. Hata umewapita wenye magazeti. Keep going. Men. ...Expand1
Related videos for Daraja la Kigamboni lililojengwa juu ya bahari DSM:
big up. Milard ayo kwa kazi yako nzuri kila saa na siku. Uko juu sana mtu wangu wa nguvu. Hata umewapita wenye magazeti. Keep going. Men. ...Expand 1
big up. Milard ayo kwa kazi yako nzuri kila saa na siku. Uko juu sana mtu wangu wa nguvu. Hata umewapita wenye magazeti. Keep going. Men. ...Expand 1