Duration 23:28

Bishop Julius Bundala. “Mipaka ya Uongozi, Nidhamu na Utii”. @PHAMT Vilundilo - Kongwa DOM

157 watched
0
0
Published 26 Sep 2021

Ni katika ibada ya mkutano wa kanda ya kati - Kanisa la PHAMT Usharika wa Vilundilo wilaya ya Kongwa mkoa wa Dodoma. Tar: 06-11/07/2021 Katika mkutano huo askofu Julius Bundala ambaye ni Katibu Mkuu Msaidizi wa Kanisa Kitaifa alifundisha somo la Mipaka ya Uongozi, Nidhamu na Utii katika kanisa. Karibu sana usikilize somo hilo.

Category

Show more

Comments - 0