Duration 4:23

Mashabiki Wamlilia HARMONIZE Mbagala - KUSINIGHT

2 770 watched
0
26
Published 17 Jun 2018

Mashabiki Wamlilia HARMONIZE Mbagala - KUSINIGHT MASTAA 12 akiwemo Ben Pol, Nyandu Toz, Dulla Makabila, Rommy Jones, Huddah ‘The Boss Chick’ Chin Bees pamoja na Queen Darleen wamemsindikiza staa mwenzao kunako Muziki wa Bongo Fleva, Harmonize katika shoo ya Sikukuu ya Idd Pili hii ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Shoo hiyo iliyoandaliwa na Harmonize kwa kushirikiana na Dar Live, ilikuwa na kiingilio cha shilingi elfu kumi tu ambapo mashabiki kibao walibaki nje na kumlilia Harmonize kutokana na kutokuwa na pesa inayotosha kuingia ukumbini hapo. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 3