Duration 22:3

ACT yaitaka ZEC ijibu hoja za uchaguzi wa mapema

29 211 watched
0
177
Published 12 Oct 2020

Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shaaban, ameitaka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kutoa majibu ya kina juu ya hoja tatu zinazoibuka kutokana na uamuzi wake wa kuwaruhusu baadhi ya watu kupiga kura tarehe 27 Oktoba, siku moja kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 28.

Category

Show more

Comments - 104