Duration 13:36

Tengeneza Dawa Ya Asili Ya Kupunguza Uzee Nyumbani Kwako.

10 795 watched
0
167
Published 15 Jun 2019

Video hii inaelezea namna ya kutengeneza dawa/kipodozi kitachosaidia kupunguza uzee kuliko umri ulionao kwa kujumuisha kupata Massa ya usingizi yanayoshauriwa kisayansi kwa kupunguza presha inayoletelezea kukosa usingizi.Hivo hii video imegusa nyanja muhimu kama tatu;namna ya kutengeneza kipodozi cha kupunguza makunyanzi,namana ya kutengeneza juice itayosaidia kupata usingizi mnono na tatu ni namna ya kupunguza 'blood pressure' yako kwa kutumia juice hiyo. #dawaYaUzee #dawaYaKutoaMakunyanzi #onekanaKijana

Category

Show more

Comments - 38