Duration 2:54

Diamond platnumz na Mwanae Nillan,washinda TUZO za Fashion East Africa Fashion Awards 2020

4 112 watched
0
65
Published 5 Aug 2020

Diamond platnumz na mwanae Nillan wameshinda tuzo za Fashion za East Africa Fashion Awards mwaka 2020, diamond ameibuka msanii wa kiume anayejua kuvaa zaidi Africa Mashariki The most stylish male artist in East Africa na mwanaye nillan ameibuka mshindi wa tuzo ya mtoto staaa anayejua kuvaa zaidi The most stylish kid celebrity in East Africa Tazama hapa washindi wote #diamondplatnumz #EAFA #Grammediatz _______________________________________

Category

Show more

Comments - 5