Duration 2:4

Ibada ya waumini wa imani ya Rasta

67 129 watched
0
462
Published 16 Feb 2018

Waumini wa imani ya Rasta hufanya ibada yao kila Jumamosi ambapo baada ya hapo hukusanya sadaka ikiwemo pesa, chakula na mavazi na kisha kuwapelekea watu wenye shida. Mwandishi wetu kutoka Mwanza, Tanzania Dotto Bulendu ametuandalia video fupi baada ya kuwatembelea Marasta wakati wakiendesha ibada yao kwenye bustani ya Lalibela, wilayani Nyamagana. Papo kwa Papo 16.02.2018

Category

Show more

Comments - 96