Duration 7:8

Gari inakaa chini ya mti mpaka linaota kutu.Majaliwa.

6 984 watched
0
26
Published 21 May 2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekabidhi jumla ya magari 184 kwa maafisa elimu wa Halmashauri ikiwa ni mkakati wa Serikali ya awamu ya sita ya kuendelea kuboresha sekta ya elimu nchini. Hafla hiyo imefanyika leo (Mei 21, 2021) katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kibasila, Jijini Dar es Salaam.

Category

Show more

Comments - 9