Duration 15:27

Ramadhan Kareem | MAHABA (Season One) Episode 2 Mwijaku Meninah Mukasa

268 577 watched
0
1.8 K
Published 17 May 2019

Mahaba is a show that reflects beautiful and dramatic stories of African relationships. Cast: - Mukasa - Isabella - Meninah - Mwijaku - Lisa Executive Producer - Crexcel Production Producer: Docta I. Ulimwengu Assist. Producer: Rehema Visuallab Camera: Sicos One echa Sound: One Echa Editor: Sicos Lights: Rogers Logistic: John Kanumba Story: Heri Madini Production Manager: Doveman Distributor: Loko Motions 2019 Copyrights Crexcel Co. Ltd

Category

Show more

Comments - 257
  • @
    @EddoTigger5 years ago Nimeipenda Hii Episode ni nzuri sana Ya Mwezi Mtukufu Wa RAMADHAN... Mwijaku Menina mmetisha sana 🙏🙏 68
  • @
    @georgeburchard48725 years ago Mwijaku unawazidi waigizaji wengi tu wa hapa bongo tena wanye majina makubwa! Uko vizuri sana! Menina kumbe nae yumoo aisee! Sikuwahi kumfikiria kwa uzito huu ninaouona! Kwa ufupi ilikuwa poa sana na kama kawaida kuna ujumbe maridhawa mmeuwakilisha!! ... 22
  • @
    @nouhamour5455 years ago Wanafunzi wa ghazal boma road msikiti mkuu like hapa 😁😁 10
  • @
    @Averone144 years ago huyu jamaa Mukasa he is a very good actor even anavyocheza na the dialogue sounds very realistic... most artist should learn from him. big up! show nzuri! 1
  • @
    @veesessy33185 years ago Nlikua sjamwelewa mke wangu,ntakupiga makofi sasa ivi😂😂😂nice movie 7
  • @
    @husnahlaazizmohammed73975 years ago Mwinjaka n menina ma sha Allah nice movies 9
  • @
    @gamechanger96465 years ago Mwijaku this is your thing bro💯yani utumii nguvu kabisa.254. 17
  • @
    @samanthaali8735 years ago Masha Allah kka Mwijaku kwa funzo zuri hili na mkeo menina 8
  • @
    @user-xi1pi4zr3b5 years ago Moto sana achia km zote mwijaku wale free wifi wako wapi... 31
  • @
    @fatumaababy12815 years ago Nzuri sana MashaAllah napata nkiwa Qatar much love+974🔥🔥💞✔✔✔ 25
  • @
    @jumanne_mlewa5 years ago Daah maashaAllah hongera sanaa mwinjaku nzuri sanaa 12
  • @
    @rwibangaramadhan76635 years ago Naam kabisa fundisha ndo mungu anataka 4
  • @
    @lucalmodric66855 years ago Mwijaku fundi na huyu mwanamke meninah kavaa uhusika kwel kweli 8
  • @
    @josephizengo59124 years ago napenda sana maisha y hawa jamaa
    yaan mkasa akikutana n mzee baba ni moto tu
  • @
    @takyatupu68395 years ago Mashallah m.mungu awaongeze mienzi yote isiwe ramadhani yarabi move nzuri kweli 🤲🤲❤🔥🔥 5
  • @
    @bellaabu57265 years ago Menina uhusika ulo uvaa usiishie humu tuu...endelea nao katika maisha halisi.shukran. 1
  • @
    @allygambo16185 years ago Mwijaku broo lete mpaka namber 200 yaukwer sana 3
  • @
    @handsamjerry5 years ago Mwijaku ur de mastetmind of acting... Nice show kwakweli...good acting...mkeo Mashaaaaallah Dada ameigiza vzr huyooo...menina 18
  • @
    @aysharamadhani16445 years ago Mashaallah nawapenda atar mwaaa menina wangu 3
  • @
    @karimidrisa99434 years ago Mazeee nilichelewa sana hii movie ni bombs mwijaku ni motoooo🌋🌋🌋🌋🌋 1
  • @
    @abdulhamidhaji50565 years ago Hahahahahaaaa
    Mukasa kaoeee3ee
    3
  • @
    @wemakalamu35385 years ago Movie nzuri hatari big up mwijaku and all the team members 1
  • @
    @husseinyusuph40875 years ago Fantastic move nice my brother mwijakuuu bless you brother 12
  • @
    @curvestudiokenya99595 years ago Yani nilikuwa nahisi swaum ya leo kali,lkn baada ya kuitazama hii mv ,loo weacha tu,mkopowa broo. 6
  • @
    @idebilihassanebiaque34555 years ago All way from Mozambique, I like this Mahaba project is very interest. 2
  • @
    @suleimanrodriguez94845 years ago Wallahi Mwijaku hii ni nzuri saana ya mafunzo dini yetu ya Kiislam, chezenu filamu nzima yamafunzo yakiislaam kabisa. Mimi nini Congo
  • @
    @ablysonco88505 years ago Looooh! Amaaa kweli funga ya ramadhan za ckuiz miongon mwa baadh ya watu n uzugaj tuu 4
  • @
    @sultanqabous61955 years ago Kama uko saudi arabia gonga like hapa007 2
  • @
    @omanoman41825 years ago Mashallah nimependa wallah asante wote mlio shiriki 1
  • @
    @frankmichael59635 years ago Recho ndio alikuwa mkali wao mtafute Recho wao wadada wanazingua 1
  • @
    @hamedmohammedjafari61145 years ago Nice ssana mwijaku...ila mmenichekesha wee n mkeo kweli 2
  • @
    @aminasarah20495 years ago 😍😍😘😘😘😁❤️ Episode Mashallah, Meninah mwanamke mrembo na kuigwa maneno Matamu anayotamkia Mume ❤️❤️❤️ 1
  • @
    @muhsinsalum23055 years ago Mh! Hapo hakuna maadili yeyote, RAMADHANI NA kuchepuka 3
  • @
    @K257955 years ago Meninah anakipaji Cha Hali ya juuu ana igiza inavyo takiwa sema asifati maisha ya kwenye midandao (Kiki) aki Achana na hayo mambo atakuwa muigizaji wa hali ya juuu 1
  • @
    @cassianahaule4925 years ago Menina safi sana umesimamia imani hakika watabadilika wengi
  • @
    @mujaymujay99515 years ago wallah nimeipenda mno mashaallah meninah allah akuongoze 2
  • @
    @youngassaidy78455 years ago Mwijakuu iii umetishaa kakaa nzr sanaaa 2
  • @
    @salhahassan96205 years ago Na enjoy sana kwny kipande cha mwinjaku na menina wallah wanifurahisha mashallah wallah mungu awaongoze nimejifunza kakitu wallah
  • @
    @MohamedHassan-mm8mn5 years ago Haya km wale watt uyo mkeo nan xhekh hivyo naomba uwelewe mkeo n mwenye kujielewa acha alinde ndoa yk na ufate maelekezo yak juu ya mwz wa ramadhan 4
  • @
    @user-ws9ek8dj5n5 years ago Maasha Allah mi ndio naangalia leo mwezi umekwisha,sa hawa marafiki wanalazimisha mwenzao apotoke na ameongoka eti vitight na vipensi, na raha tele mnavo itembeza😂😂😂 ...
  • @
    @bensonisilivery65725 years ago Big 🆙 sana mr. yan mmetisha sana make makolombwezo yote mmeyatia katk movie🎬xo niseme ongeren sana mmetishaaaaaaa.asee mwijaku una akili mpaka unaboa🤣🤣🤣😎
  • @
    @nurusaleh70495 years ago Nitakupiga makofi sasa hivi,haya kayapata mwijaku bhn 2
  • @
    @tinevimbologisticsltd72255 years ago Congratulations for all actor's and actress very fantastic
  • @
    @mercuryplanet25535 years ago Ahahahahhahaaa kulazimishana kuoa jamani 3
  • @
    @suleimaname61535 years ago Mashallah hii series fupi,nzuri ina mafunzo na ujumbe Mzuri 5
  • @
    @kilikuukiduku40405 years ago dakika ya 3 na sekunde ya 36 kuelekea 37 . -37 kuna nzi kamdandia kwenye paj la uso uyo rafiki ake Meninah . 🤣 4
  • @
    @princespider58545 years ago 😂 😂 😂 Msintie dhambie mie kiswahili kitamu sana 1