Duration 5:39

CORONA HAIJATUFIKISHA HATUA KUFUNGIA WATU NDANI, TULINDE AJIRA KWA NGUVU - MKURUGENZI ATE

379 watched
0
5
Published 24 Mar 2020

Chama cha Waajiri nchini (ATE) kimeeleza kuwa hakuna haja yakufungia Wafanyakazi ndani kutokana na janga la Corona badala yake Wafanyakazi hao wanapaswa kufanya kazi kwa nguvu. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama hicho, Dkt. Aggrey Mlimuka jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano maalum uliondaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) wenye lengo lakuutangazia Umma tahadhari ya janga la Corona.

Category

Show more

Comments - 1