@AbdulAbdul-pr9qe4 years agoMie ni muislam ila huyu mchungaji ni mfano wa kuigwa na wachungaji wote, mafundisho yake anafundisha hadi wasiokuwa wakristo, binafsi namuelewa sana mgogo. 50
@
@kevokipanya48084 years agoMtumish amen kwel unayo sem naumen fumbua sasa asnt mtumish mungu asid kukup upeo wakutufundish sisi kondoo wako. 2
@
@marketphone63534 years agoAmina na mm namuerewa san mungu awe naye na ampe miaka 2000. 5
@
@asentusodhiambo96214 years agoBwana yesu apewe sifa, tunashukuru sana mafunzo ya dharura tunaiyoipokea. 1
@
@lucasleonard52904 years agoNime kufuatia sanayako yapo tofauti sanamahubiri yao ni yamaari. 2
@
@sophiemulebinge33504 years agoMafundisho aya yana tujenga sana. Mungu akubariki baba. nakufata, nikiwa congo. 2
@
@anethkalokola57772 years agoUbarikiwe mtumishi injili yako ya ukweli mtupu sema tupone.
@
@jaclinsimon99992 years agoAsante ubarikiwe maana najua utafanya wanaume wengi.
@
@brigithaassenga51914 years agoNi kweli baba nikikumbuka mapito niliyopitia mungu mwenyewe anajua kwa sababu yeye ndoasante jehova shama kutupa mchugaji mgogo. 2
@
@esperancekavira85482 years agoMungu akupee maoni zaidi na zaidi mchungaji.
@
@irenesimon91073 years agoKweli muchungaji ingekuwepo kipimo sijiwi ingekuwaje kweli mungu atuhulumie. 1
@
@annamrima55074 years agoAmeen mchungaji mungu akubariki na akuinue zaidi. 1
@
@bahatimmependezamwanginda52024 years agoKupitia mahubiri yko wengi wanaponywa, wanaosema husomi maandiko wanakuonea wivu achana nao, piga kaz baba songa mbelee. 1
@
@nyaxx383 years agoAma kwa kweli neno hili ni la kweli kabisa. Mungu atusaidie.
@
@irinewafula15574 years agoWaa! Ukweli kabisaa unasema, maji moto ya kuoga hahaha kweli mchungaji. 2
@
@irenemacha74574 years agoJmn wanaume wanatunyanyasa sana tukwila na mumbai.
@
@focuseric41094 years agoYan upo sahihi ata mm niseme ukwel wa mungu nilikua ivo lkn ss kwasababu yako nimebadilika yani nasema kwel yamungu kasoro tu kumuamsha asubui lkn mengine nimo na nungu anisamehe. 2
@
@eliasmsese76944 years agoYes bshop daniel mgogo nakbal sana mahubili yako bless. 1
@
@jamessila32192 years agoSasa kama maisha ya doa ni hivi nitaoa.
@
@christinekituyi98262 years agoIle hekima uko nayo pastor si ya kawaida.
@
@josephineabedi81004 years agoUwambiye wale wa baba walisha tutesa wala hawajuwe kuomba msamaa kama wamekosa.
@
@hanningtonedagwa86364 years agoMahubiri yako bishop yatosha umehubiri ukweli kabisa. 1
@
@lubungaetienealmasi10594 years agoNipo canada ila wanga nakufatilia sana mungu akubariki. 1
@
@koshnmjomba37024 years agoHapa mchungaji, umetupiga goal kumi bila. lakini heri akuambiaye kweli ukakasirika kuliko rafiki anaye kudanganya na ukapotea miondoko. 2
@
@irenemacha74574 years agoMgogo sijui nikununulie soda? Hujawai kukosea. 3
@
@cheiknamouna20584 years agoWaambie tu baba ili usije ukaulizwa kwa nini uliona ukanyamaza. 1
@
@irenemacha74574 years agoNikweli mchungaji mwanaume anakuacha na mimba ya miezi 9 bila hata huruma anasafir kwenda kula bata anakuacha unahangaika usiku kucha msaada anaokupa anakwambia. ...Expand1
@
@lydiahann17374 years agoMungu akumbaliki mchungaji na azindi kukupa ufunuo uendelee kuieneza ijiri. 2
@
@irenemacha74574 years agoNikweli mchungaji mwanaume anakuacha na mimba ya miezi 9 bila hata huruma anasafir kwenda kula bata anakuacha unahangaika usiku kucha msaada anaokupa anakwambia. ...Expand1
Related videos for MCH.DANIEL MGOGO - MCHUNGAJI UNAAGIZA POMBE ,KUMBE UNAYEMWAGIZA MSHILIKA WAKO:
nakufata, nikiwa congo. 2
achana nao, piga kaz baba songa mbelee. 1
lakini heri akuambiaye kweli ukakasirika kuliko rafiki anaye kudanganya na ukapotea miondoko. 2