Duration 42:22

Jina la Mungu ndilo jina la Kristo

2 663 watched
0
36
Published 19 Nov 2018

Katika kila dini watu wanamuita Mungu kwa namna vitabu vyao vitakatifu vinavyofundisha. Huku kila dini ikijisifu kumjua Mungu na kulijua jina lake la kweli. Baadhi wanamwita, Elohim, Yahvé, Elshadai na kazalika, Je hayo ndiyo majina yake? Vivyo hivyo kuhusu mkombozi ambaye ni Kristo, wengi wanamwita Yehoshua, Yesu, Issa, Jésus, Issus, Je hayo ndiyo majina yake ambayo binadamu wanatakiwa kuyataja ilikuokolewa ?

Category

Show more

Comments - 31