Duration 4:41

Jubilee Na ODM Waafikiana Kuwasilisha Mgombea Ugavana Nairobi

28 857 watched
0
97
Published 28 Dec 2020

Chama cha Jubilee kimeafikiana na kile cha ODM kuwasilisha mgombea mmoja wa ugavana kaunti ya Nairobi kwenye uchaguzi mdogo ujao. Kulingana na mmoja wa wagombea, Jubilee watawasilisha mgombea mkuu huku ODM wakipewa nafasi ya kuwasilisha mgombea mwenza au ukipenda naibu gavana.

Category

Show more

Comments - 56