Duration 43:45

NEEMA MWAIPOPO AKIELEZEA HISTORIA YAKE JUU YA SAFARI YAKE YA MZIKI, UCHAWI, MAFANIKIO,FAMILIA

2 795 watched
0
44
Published 3 Nov 2021

mwimbaji wa nyimbo za injili nchini tanzania wa muda mrefu ambaye alianza kuimba 1995 neema mwaipopo ameeleza mengi juu ya namna ambavyo alifanikiwa kimuziki huku akishangazwa na kizazi cha sasa cha waimbaji wa mziki wa injili namna ambavyo wanauchukulia ,pia ameeleza juu ya mapito ya familia yake

Category

Show more

Comments - 15