Duration 24:37

Ebitoke akiri kuivunja ndoa ya Mama Ashura, 'Nilikosea sana' Achekelea Ben Pol na Anerlisa kuachana

42 515 watched
0
381
Published 10 May 2021

Ebitoke anasimulia safari ya maisha yake kuanzia kuwa mfanyakazi wa ndani Mwanza hadi kuja Dar kutafuta maisha na kujiunga na kundi la Timamu. Pia anaeleza jinsi anavyojutia kuivunja ndoa ya Mama Ashura. Kwa upande mwingine anaelezea hisia zake baada ya kusikia taarifa ya kuvunjika kwa ndoa ya Ben Pol na Anerlisa #ChillnaSky

Category

Show more

Comments - 191