Duration 3:33

Mnara uliojengwa kwa shilingi milioni 70 Geita kufanyiwa ukarabati

6 157 watched
0
22
Published 8 Dec 2018

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Geita kwa pamoja limeazimia kuufanyia ukarabati mnara ulioko katikati ya Mji wa Geita uliojengwa kwa thamani ya Shilingi Milioni 70 na kukamilika mwezi mmoja uliopita.

Category

Show more

Comments - 5