Katika matangazo yetu leo Tar. 05/10/2020:
✍️Tutaendelea kukupasha yanayojiri katika uchaguzi wa Marekani, bado tu Joe Biden yuko kifua mbele dhidi ya Donald Trump, isipokuwa bado matokeo ya majimbo muhimu hayajatoka
✍️Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya atoa tathmini ya janga la corona nchini humo na kutangaza hatua mpya za kupambana na maambukizi
✍️Nchini Uganda, wagombea mbalimbali wa urais wanaendelea kuzindua ilani zao za vyama
✍️Utasikia kuhusu juhudi za kuleta amani Sudan Kusini kupitia mazungumzo ya kitaifa yanayoendelea.Katika matangazo yetu leo Tar. 05/10/2020:
✍️Tutaendelea kukupasha yanayojiri katika uchaguzi wa Marekani, bado tu Joe Biden yuko kifua mbele dhidi ya Donald Trump, isipokuwa bado matokeo ya majimbo muhimu hayajatoka
✍️Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya atoa tathmini ya janga la corona nchini humo na kutangaza hatua mpya za kupambana na maambukizi
✍️Nchini Uganda, wagombea mbalimbali wa urais wanaendelea kuzindua ilani zao za vyama
✍️Utasikia kuhusu juhudi za kuleta amani Sudan Kusini kupitia mazungumzo ya kitaifa yanayoendelea.
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for VOA SWAHILI MATANGAZO YA IDHAA KISWAHILI SAUTI AMERICA TAR.: