Duration 3:22

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta

3 210 watched
0
7
Published 4 Aug 2020

Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji #EWURA imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli na dizeli zitakazoanza kutumika kuanzia kesho ambazo zimepanda kwa shilingi 139 kwa petroli na dizeli ikipanda kwa shilingi 99. #MafutaYapandaBei #BeiMpyaYaMafuta Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 0