Duration 9:22

Ni shida kutawala ikiwa wengi hawakuridhika - Dk. Mwinyi

52 611 watched
0
215
Published 12 Dec 2020

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa ni shida kuongoza nchi wakati watu wengi hawakuridhika na kwa hivyo anamshukuru Maalim Seif Sharif Hamad kwa kukubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa pamoja naye.

Category

Show more

Comments - 254