Duration 2:46

Maoni ya watu walioshuhudia tetemeko la ardhi nchini Kenya na Tanzania

146 watched
0
0
Published 14 Aug 2020

Maoni ya watu walioshuhudia #Tetemeko la ardhi nchini #Kenya na #Tanzania. Tetemeko hilo limekuja siku chache baada ya wakazi wanaoishi pembezoni mwa ziwa Baringo nchini Kenya kuripotiwa kuwa na tetemeko baada ya kiwango cha maji kujaa kwa sababu ya mvua zinazoendelea.

Category

Show more

Comments - 0