Duration 1:00

Shamrashamra za kukabidhi zawadi kwa washindi wa wiki ya saba, Tanga

114 watched
0
1
Published 22 Jul 2021

Baadhi ya matukio katika shughuli za makabidhiano ya zawadi kwa washindi wa wiki ya saba kwenye promosheni ya #twendemjininampesa kutoka jiji la Tanga. Tumepata kumkabidhi mshindi wa saba wa bajaji zawadi yake mpya kabisa aina ya TVS King, na washindi wengine wanne wa bodaboda mpya aina ya TVS King. Endelea kutumia M-Pesa ujiongezee nafasi ya kushinda. #pesanimpesa

Category

Show more

Comments - 0