Duration 3:48

RAIS SAMIA AMUHAKIKISHIA RAIS WA EU UTAWALA BORA ,DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU KATIKA UTAWALA WAKE

68 watched
0
1
Published 12 Jul 2021

#RaisSamiaSuluhuHassan#IkuluMawasiliano#RaiswaEU Rais samia suluhu Hassan Amemuhakikishia Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya ,Charles Michel kuwa kwenye utawala wake utasimamia na kuimarisha Utawala Bora ,Demokrasia na haki za msingi za binadamu. Swala la kuhusu mapambano dhidi ya ugonjwa wa corona , Rais Samia amemtaarifu Rais wa EU Charles Michel kuwa Tanzania tayari imeshajiunga na mpango wa kimataifa wa ugawaji wa chanjo kwa nchi maskini ( Covax facility) na ina mpango wake wa taifa wa kupambana na corona unaoainisha mahitaji yake kwa EU ili kupata msaada.

Category

Show more

Comments - 0